Friday 9th, May 2025
@Ukumbi wa Mikutano Halmashauri ya Arusha
Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha Dk. Wilson Mahera anawatangazia watumishi wote ambao ni wanamichezo kuwa, kutakuwa na uchaguzi wa Viongozi wa Klabu ya Michezo Halmashauri ya Arusha 'ARUSHA DC SPORTS CLUB', utakaofanyika siku ya Ijumaa tarehe 31.08.2018 kuanzia saa 04:00 asubuhi, kwenye Ukumbi wa Mikutano halmashauri ya Arusha.
Wanamichezo wote mnatakiwa kuhudhuria bila kukosa.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.