Na Elinipa Lupembe
Mkuu wa Idara ya Elimu Sekondari, halmashauri ya Arusha, Mwl. Menard Lupenza, anawatakia kila la Kheri wanafunzi wote wanaofanya Mtihani wa Taifa wa kuhitimu kidato cha 4 unaoanza tarehe 14.11.2022.
"Jumla ya Wanafunzi 4,999, wavulana 2,106 na wasichana 2,893 halmashauri ya Arusha wanategemea kufanya mtihani kwa Taifa wa kuhitimu Kidato cha 4 unaonza tarehe 14, Novemba 2022 kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)". Amefafanua Afisa Elimu Lupenza
MWENYENZI MUNGU AWASIMAMIE
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.