Afisa Elimu Sekondari Menard Lupenza amefurahishwa na kitendo cha Wazazi kuchangia kupata Gari la Shule ya Sekondari Oldonyosambu.
'Nimefurahishwa mno, nimefurahishwa sana na jambo ambalo wazazi wa menitia moyo kwaajili ya kuakikisha wanaleta Uchochezi wa Maendeleo katika Suala la Elimu"
Jitihada hizo zimefanya na walimu ambapo chanzo chake ni Wazazi waliguswa na utendaaaaji kazi Mzuri wa Walimu,
Ameongeza na kusema kuwa anaamini kwamba Walimu watawahi kwenda kazini, na kupanga mipango mikakati mizuri ya kukuza maendeleo ya Sekta ya Elimu katika shule hiyo.
TAZAMA VIDEO, Bofya hapa
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.