Katibu Tawala MKkoa wa Arusha Dkt. Athman Kihamia anasikitika kutangaza kifo cha aliyekiwa Afisa Tawala Wilaya ya Arumeru ndugu. Aneclet Mshashu kilichotokea tarehe 30.07.2021 katika Wilaya ya Tengeru alipokuwa akipatiwa matibabu.
Katibu Tawala huyo anatoa pole kwa watumishi wote wa wilaya ya Arumeru, halmashauri ya Arusha na Meru, ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huu.
Bwana alitoa Nwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.