• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA KWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA 3 NA MIEZI MIWILI

Posted on: January 4th, 2023

Na Elinipa Lupembe

Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha imemhukumu kifungo cha maisha, Bw. John Sanare Lukuaya  (23) mkazi wa Kijiji cha Kimnyaki, Kata ya Kimnyaki, halmasahuri ya Arusha kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka mitatu na miezi miwili ambaye inasadikika ni mtoto wa mke wake.

Akitoa hukumu hiyo leo Januari 04, 2023 Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya wilaya, Gwantwa Mwankunga,  amesema kuwa, Mahakama hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kujiridhisha na ushahidi uliotolewa pasipo shaka yoyote na kumtia hatiani kwa kosa la kubaka.

Mwendesha mashitaka na Wakili wa Serikali Penina Ngotea, aliieleza mahakama hiyo kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo tarehe 10 Julai ,2022 katika Kijiji cha Kimnyaki ndani ya nyumba wanayoishi na mtoto huyo, ambapo alimbaka mtoto huyo wa miaka 3 na kumsababishia maumivu makali.

Muendesha mashtaka huyo, amefafanua kuwa, mtuhumiwa alimbaka mtoto huyo muda wa usiku,  wakati mama wa mtoto huyo akiwa amekwenda kulala kwenye msiba jirani huku mtuhumiwa akiwa amebaki na mtoto usiku huo.

Hivyo, aliiomba mahakama itoe adhabu kali kwa mtuhumiwa kwa makosa hayo ili iwe ni fundisho kwa watu wengine wenye nia ya kutaka kufanya vitendo kama hivyo kwa watoto.

Upande huo wa mashitaka uliwasilisha mashahidi watano na mashahidi wanne walitoa ushahidi ambao pasipo na shaka yoyote mahakama ilimkuta mtuhumiwa na kosa hilo, na kuamua kumtia hatiani kufungwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka.

Awali mkurugenzi wa shirika la CWCD Hindu Mbwega, ameishukuru mahakama kwa kumtia hatiani mtuhumiwa huyo, kutokana na kukithiri kwa vitendo vya ukatili kwa watoto, na kuionya jamii kufichua vitendo vya ukatili vinayofanyiwa watoto na kuwataka kutambua kuwa sheria inafanya kazi kwa yeyote atakayejihusisha na vitendo hivyo.

Naye Afisa Ustawi wa Jamii, halmashauri ya Arusha, Beatrice Tengi ameipongeza mahakama kwa kutenda haki kwa kuhakikisha haki ya mtoto imepatikana

Ameongeza kuwa licha ya kuwa serikali kwa kushirikiana na wadau inatoa elimu kwa kwa jamii juu haki za watoto, bado kuna changamoto kwa jamii kufanya ukatili kwa watoto na baadhi ya wanajamii kushindwa kutoa ushahidi kwenye kesi kwa kuhofia kutengwa na ndugu, jamaa na marafiki.


rARUSHA DC 

KaziInaendelea ✍







Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.