Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha,bwana Omary Sembe leo tarehe 25/03/2025 amekutana na kufanya kikao na ujumbe toka Shirika la Chakula Duniani ( WFP) Tanzania uliongozwa na Afisa Miradi bwana Masasa Makwasa. Mazungumzo hayo yalilenga namna ya kuinua sekta ya Kilimo kwa kuwawezesha Vijana kupata mbinu bora za kilimo ili kuzalisha kwa tija.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.