• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Arusha DC yaanza mwaka mpya wa fedha 2018/19 kwa neema

Posted on: July 3rd, 2018

Na. Elinipa Lupembe

Halmashauri ya Arusha imemaliza mwaka wa fedha 2017/18 na kuanza mwaka mpya wa fedha 2018/19,  kwa neema kubwa ya kupata miradi mitatu yenye thamani ya shilingi milioni 780.

Akizungumza na mwandishi wetu ofisini kwake, Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha Dkt. Wilson Mahera, amethibitisha  kuwa, halmashauri yake, imepokea fedha kiasi cha shilingi milioni 780 kwa ajili ya kutekeleza miradi mikubwa mitatu ikiwa miradi miwili ya elimu na mradi mmoja wa afya.

Dkt. Mahera ameitaja miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa bweni na vyumba vinne vya madarasa, shule ya sekondari Mringa  kwa gharama ya shilingi milioni 230.

Kiasi cha shilingi milioni 150, kitatumika kujenga vyumba vya madarasa, ofisi ya walimu pamoja na vyoo, kwa ajili ya kuanzisha shule,  mpya ya sekondari Kiseriani katika kata ya Mlangarini.

Ameongeza kuwa, fedha nyingine kiasi cha shilingi milioni 400, zimepokelewa kwa ajili ya ujenzi, ukarabati na upanuzi wa kituo cha Afya Mbuyuni kata ya Oljoro.

Aidha Dkt. Mahera, amefafanua kuwa fedha hizo zimetokana na vyanzo mbalimbali vya fedha hizo, kiasi cha shilingi milioni 230 ni fedha ikiwemo fedha za mradi wa  Lipa Kutokana na Matokeo  'P4R', milioni 400 fedha za serikali za kuendeleza vituo vya Afya nchini, huku shilingi milioni 230 zikiwa ni fedha za fidia ya shamba la kijiji lililotolewa kwa chuo kikuu Mzumbe.

Hata hivyo Mkurugenzi Mahera amesema kuwa,  miradi hiyo itaanza kutekelezwa mara baada ya kufanya mikutano ya wananchi wa maeneo ambayo miradi hiyo itatekelezwa.

Aidha Mkurugenzi huyo amesema kuwa,  lengo la kukutana na wananchi ni kuwashirikisha juu ya ushiriki wao katika utekelezaji wa miradi hiyo, kwa kuwa miradi yote itatumia Force Account ambayo inaruhusu miradi hiyo kutumia mafundi wa eneo husika 'local fundi' chini ya usimamizi wa wananchi.

Mkurugenzi huyo amewataka wananchi wa maeneo hayo kushiriki kwa hali na mali katika utekelezaji wa miradi hiyo huku akiwataka wadau mbalimbali kujitokeza kuongeza nguvu katika ujenzi wa miradi hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.