• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

ARUSHA DC YAJIPANGA KUTOKOMEZA UTAPIAMLO MKALI NA UKONDEFU KWA WATOTO WA CHINI YA MIAKA MITANO

Posted on: February 18th, 2020

Halmashauri ya Arusha, imejipanga kutokomeza kwa kasi, utapiamlo mkali na ukondefu,kwa watoto walio chini ya miaka mitano, wanaokabiliwa na maradhi hayo,kwa kutoa tiba lishe, ndani ya halmashauri hiyo.


Mkakati huo umewekwa wazi na Afisa Lishe, halmashauri ya Arusha, Doto Milembe, wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo, wahudumu wa vituo vya kutolea huduma za afya, ili kuweza kutoa tiba lishe hizo kwa watoto wenye, utapiamlo mkali na ukondefu.

Amesema kuwa, lengo la kutoa mafunzo hayo ni kuhakikisha watalam wa afya, wanawatambua na kutoa  elimu ya lishe, kwa kina mama wajawazito, kuwatambua watoto wenye utapiamlo, kutoa chakula lishe pamoja na kuwafuatilia watoto  kwenye ngazi ya familia na kuhakikisha familia zinapata lishe bora na kutokomeza kabisa utapiamlo na ukondefu kwa watoto wa chini ya miaka mitano.

"Takwimu za halmashauri ya Arusha, zinaonyesha bado asilimia 4 ya watoto wa chini ya miaka mitano, wanakabiliwa na Utapiamlo mkali katika na asilimia 7 wanakabiliwa na ukondefu, hivyo halmashauri imeweka mkakati wa kupambana na maradhi hayo na kuyatokomeza kabisa ifikapo 2025"amesema Doto.

Nao washiriki wa mafunzo hayo, wamekiri kupata uelewa mkubwa  juu ya namna ya kuwatambua watoto wenye utapiamlo na kuwahudumia, na kuthibitisha uwepo wa watoto wenye utapiamlo katika maeneo yao, ya kutolea huduma za afya, huku changamoto kubwa ilikuwa ni tiba lishe, uwepo wa tiba lishe kwenye vituo, utasaidia kuwatibu na kutokomeza maradhi hayo.

Edna Maeda, muuguzi wa kituo cha Afya, Olkokola, amesema kuwa, mafunzo hayo yamemuwezesha kutofautisha mtoto mwenye utapiamlo na mtoto aliyepoteza maji mwilini kwa kuharisha, na zaidi namna ya kumpa huduma ya kwanza pamoja na kufuatilia matibabu yake ikiwemo chakula lishe.

Hata hivyo ameitaka jamii, kuzingatia ulaji wa chakula bora kwa watoto, chakula chenye kuzingatia makundi yote virutubisho vya lishe, jambo ambalo litajenga afya ya mtoto na kumuwezesha kukua vizuri kimwili, kiakili na kisaikolojia.

Ni vema kuhakikisha watoto wanapata lishe bora, kwa kuwa ukosefu wa lishe bora unasababisha utapiamlo na ukondefu na kumsababishia mtoto udumavu wa mwili na akili  hatimaye, kuwa na taifa lenye watu wasio na afya bora, taifa ambalo litakosa nguvu kazi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA August 14, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KUFUATILIA NA USAMIZI WA HAKI ZA MTOTO KATIKA JAMII NI JAMBO MUHIMU

    August 25, 2025
  • RAIS SAMIA AMUAPISHA AMOS MAKALLA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    August 26, 2025
  • DKT. JAHANNES LEMBULUNG' LUKUMAY ACHUKUWA FOMU YA UGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI

    August 25, 2025
  • KIKAO KAZI CHA WENYEVYITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA (CEOs Forum 2025)

    August 24, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.