• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

ARUSHA DC YANG'ARA SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA ARUSHA

Posted on: May 1st, 2022

Na. Elinipa Lupembe.

Halmashauri ya Arusha, imeshika nafasi ya kwanza na kuzibwaga halmashauri sita, tasisi za umma na binafsi, mashirika ya Umma  na binafsi,  kwenye maadhimisho ya sikuu ya Wafanyakazi Duniani mkoa wa Arusha, yaliyofanyika katika viwanja vya General Tyre.

Akiwaongoza wafanyakazi wa halmashauri ya Arusha, mkurugenzi Mtendaji, Seleman Msumi, kupokea Kombe la ushindi wa kwanza,  mbele ya mgeni rasmi, mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongela, amewashukuru na kuwapongeza watumishi wa halmashauri hiyo, kwa kujitoa kufanyakazi kwa bidii na kwa ushirikiano.

Mkurugenzi Msumi, amewahakikishia watumishi, utumishi uliotukuka kutoka kwake na kufungua milango ya majadiliano  na mashauri mbalimbali yanayoweza kukwamisha ufanisi wa kazi katika eneo la kazi."Ninathamini na kutambua mchango mkunwa unaotokana na utumishi wa kila mmoja katika eneo lake la kazi, maendeleo yote yanayoonekana katika halmashauri yanatokana na uwajibikaji wa watumishi wa halmashauri ya Arusha" amesisitiza Mkurugenzi Msumi.

Aidha amethibitisha kuyafanyia kazi maelekezo na maagizo yaliyotolewa na mkuu wa mkoa, wakati wa hotuba yake ya maadhimisho ya Sikukuu ya wafanyakazi mkoa wa Arusha.Wafanyakazi wa mkoa wa Arusha wameungana na wafanayakazi wote Duniani, kuadhimisha Sikukuu  hii muhimu inayowakutaniasha wafanyakazi wote kwa pamoja, kuwasilisha changamoto na ufanisi wa majukumu yao sehemu za kazi kwa waajiri wao. 

Kauli Mbiu ya MEI MOSI 2022 "Mishahara na Maslahi Bora kwa Wafanyakazi Ndiyo Kilio Chetu", Kazi iendee, ikionesha namna wafanyakazi wana ari ya kufanya kazi inayokwenda  sambamba na  mishahara na maslahi bora kwa wafanyakazi wa sekta zote.

ARUSHA DC

#KaziInaendelea✍✍✍






Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DKT. PASCAL KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 19, 2025
  • WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 18, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI

    June 17, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.