• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

ARUSHA DC YANG'ARA SHEREHE ZA MEIMOSI 2023.; YAWA HALMASHAURI BORA

Posted on: May 1st, 2023

Na Elinipa Lupembe

Halmashauri ya Arusha imeshika nafasi ya pili kwa kuwa halmashauri bora kwenye maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi Mei Mosi 2023 na kukabidhiwa kombe la ushindi huo.

Ushindi huo umetangazwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John Mongela, wakati wa sherehe za Mei Mosi  2023 mkoa wa Arusha, zilizofanyika kwenye viwanja vya Shekh Amri Abeid Jijini Arusha.

Akizungumza mara baada ya kupoke Kikombe hicho, Mkrugenzi  Mtendaji halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, licha ya kushukuru kwa kupata tuzo hiyo, amebainisha kuwa, ushindi huo ni alama ya uwajibikaji wa watumishi wa halmashauri yake, na kuahidi kuendelea kufanya kazi kwa bidii kwa kuzingati Kanuni,Sheria na Taratibu za Utumishi wa Umma.

"Tunao wajibu mkubwa wa kuwahudumia wananchi, kupitia zawadi hii, mimi na watumishi wenzangu tunakwenda  kufanya maradufu, jukumu letu kubwa ni kuwatumikia wananchi wa halmashauri ya Arusha, kupitia zawadi hii, tumejipanga kwa upya" .Amesema Mkurugenzi Msumi

Wafanyakazi wa halmashauri ya Arusha licha ya kufurahia kupata zawadi hiyo, wamesema kuwa, imewaongezea ari ya kufanyakazi kwa juhudi na maarifa zaidi, huku wakiahidi kuweka mbele maslahi ya wananchi wa halmashauri hiyo.

"Zawadi hii ina thamani kubwa sana kwetu, ni chachu katika kuchapa kazi, imetupa ari ya kwenda kuchapa kazi ya kuwahudumia wananchi ili kufikia malengo ya Serikali kwa maendeleo ya Taifa letu, tupo tayari na tumejipanga" Wamebainisha Watumishi wa halmashauri hiyo.

Sherehe za Mei Mosi 2023, zimefanyika nchi nzima huku Kitaifa zikifanyika mkoani Morogoro, mgeni rasmi akiwa ni  Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kauli mbiu 2023: "Nidhamu na bidii ya kazi ndio msingi wa mafanikio kazini"


ARUSHA DC ni Yetu, Tushirikiane Kuijenga"

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.