• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Arusha DC yatoa tahadhari ya ugonjwa wa Kipindupindu

Posted on: April 21st, 2018

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha Dkt. Wilson Mahera, anawatangazia wananchi wote, wa halmashauri hiyo,  kuchukua  tahadhari  na hatua za kimkakati katika maeneo yote ili kujizui mlipuko wa gonjwa wa Kipindupindu.

Mkurugenzi Mahera ametoa tahadhari hiyo, kutokana na kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu katika wilaya jirani ya Longido katika mkoa  wa Arusha, ambayo kimsingi, inapakana na halmashauri ya Arusha kwa upande wa Magharibi.

Amefafanua kuwa, uamuzi wa kuchukua tahadhari umekuja kutokana na mwingiliano wa kijamii, kibiashara na ukaribu wa maeneo kati ya wananchi wa Longido na wananchi wa halmashauri ya Arusha.

Aidha Dkt. Mahera ametaja mikakati inayoendelea kufanyika ni pamoja na kuhimiza usafi kwenye makazi binafsi na maeneo ya umma, kuhimiza matumizi ya vyoo, kudhibiti uuzaji hovyo wa vyakula vilivyopikwa pamoja na kuainisha vituo maalumu vitakavyotengwa kwa watu watakaopata ugonjwa huo.

Hata hivyo Mkurugenzi huyo amewakumbusha wananchi mambo muhimu  ya kufanya ili kujihadhari na ugonjwa wa Kipindupindu kama ifuatavyo :-

i. Kunawa mikono kwa sabuni kabla na baada ya kula, na mara baada ya kutoka chooni.

ii. Kula vyakula vya moto.

iii. Kuchemsha maji ya kunywa.

iv. Kuosha matunda kwa maji safi na salama.

 v. Kuacha kununua vyakula vya kupikwa kwenye maeneo ya wazi.

vi. Kufanya usafi kwenye maeneo yanayowazunguka.

Dalili za ugonjwa wa Kipindupindu ni kuharisha na kutapika, uonapo dalili hizo wahi kwenye kituo cha kutolea huduma za afya.

   .....!!!!! KINGA NI BORA KULIKO TIBA...!!!!

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA August 14, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KUFUATILIA NA USAMIZI WA HAKI ZA MTOTO KATIKA JAMII NI JAMBO MUHIMU

    August 25, 2025
  • RAIS SAMIA AMUAPISHA AMOS MAKALLA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    August 26, 2025
  • DKT. JAHANNES LEMBULUNG' LUKUMAY ACHUKUWA FOMU YA UGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI

    August 25, 2025
  • KIKAO KAZI CHA WENYEVYITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA (CEOs Forum 2025)

    August 24, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.