• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Arusha DC yatwaa ubingwa UMISETA mkoa wa Arusha.

Posted on: June 1st, 2019

Na. Elinipa Lupembe.

Halmashauri ya Arusha imeng'ara katika mashindano ya mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari - UMISSETA mwaka 2019, mkoa wa Arusha kwa kushika nafasi ya kwanza kimkoa baada ya mashindano hayo kumalizika leo.Arusha.

Halmashauri ya Arusha imeongoza mashindano hayo, baada ya kujinyakulia jumla ya  vikombe 9 kati ya 28, vilivyotolewa katika mashindano hayo, yaliyomalizika leo, kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Ilboru wilayani Arumeru.

Akizungumza wakati wa kukabidhi Vikombe kwa washindi, Mkurugenzi mtendaji, Halmashauri ya Arusha Dkt. Willson Mahera, kwa niaba ya Katibu tawala wa Mkoa Arusha, Richard Kwite, amesema  kuwa, Serikali imeamua kurejesha michezo shuleni, ili kuibua vipaji vitakavyoongeza fursa za ajira kwa vijana nchini.

Licha ya kuwapongeza wanafunzi wote walioshiriki mashindano hayo, amewataka waliochaguliwa kuwakilisha mkoa ngazi ya taifa, kufanya mazoezi kwa bidii  na kuendeleza nidhamu michezoni ili kuweza kufanya vizuri zaidi na kurushi na ushindi wa mkoa wa Arusha. kitaifa.

"Ninawapongeza wachezaji waliofikia hatua hii, hata kama hawajapata ushindi wala kuchaguliwa kwenda ngazi ya taifa, kwa kuwa wameonesha juhudi kubwa kwa kushiriki mashindano haya ya ngazi ya mkoa, ninawataka wachezaji waliochaguliwa kufanya bidii zaidi na kuleta  Vikombe vya ushindi kwa mkoa wetu" amesema Mkurugenzi huyo.

Kwa upande wao, wachezaji kutoka timu ya Halmashauri ya Arusha .... waliochaguliwa kuwakilisha timu ya Mkoa ngazi ya taifa,  wameishukuru Serikali kupata nafasi hiyo, na kuahidi kufanya jitihada zaidi ili kuweza kufanya vizuri katika mshindano hayo.

Esana Justus maarufu kama 'Cheche', mchezaji wa mpira wa miguu, amefurahi kuchaguliwa kwenye timu ya mkoa na kushukuru timu yake kuchukua ubingwa wa mkoa na kuongeza kuwa, licha ya kuwa mashindano ngazi ya taifa ni magumu lakini amejipanga kufanya juhudi katika mazoezi ili kuweza kurudi na ushindi.

"Nashukuru timu yangu imeweza kuchukua ubingwa na pia kuchaguliwa katika timu ya mkoa, tunaahidi kufanyavizuri katika mashindano ya kitaifa" amesema mchezaji huyo.

Mashindano hayo yaliyokuwa na lengo la kupata wachezaji 100 watakao wakilisha mkoa wa Arusha katika mashindano hayo kwa ngazi ya Taifa yatakayofanyika mkoani Mtwara.

Awali, katika mashindano hayo, halmashauri ya Arusha,  imeshika nafasi ya kwanza, ikifuatiwa na halmashauri ya Arusha Jiji, ya tatu halmashauri ya Karatu, halmashauri ya Ngorongoro ikishika nafasi ya nne, kwenye mpira wa miguu wa wavulana.







Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.