Na. Elinipa Lupembe.
Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, halmashauri ya Arusha, Bi. Angela Mvaa, amechaguliwa kuwa Rais wa chama cha Maafisa Maendeleo ya Jamii Tanzania - CODEPATA nafasi atakayoitumikia kwa muda wa miaka miwili, uchaguzi huo umefanyika, wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa Maendeleo ya Jamii nchini, uliofanyika makao makuu ya nchi, Dodoma.
HONGERA ANGELA MVAA NENDA UKATUMIKIE TAIFA HAKIKA UNATOSHEA
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.