Mratatibu wa Uchanguzi ngazi ya Wilaya Bi. Elizabeth Ngobei (aliyesimama) akiwa na Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Arumeru Mhe.Theresia Mathew Sedoyeka (kulia) wakati wa zoezi la kuwaapisha Waandikishaji Wapiga kura kutoka Kata 27 za Halmashauri ya Arusha. Zoezi hilo la uapisho kwa Waandikishsji Wapiga kura limefanyika leo tatehe 07/10/2024 katika ukumbi wa mikutano
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.