• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC ARUMERU AFANIKISHA MCHANGO WA MAZIWA YA MTOTO KWA KAYA ILIYOBOMOKEWA NYUMBA OLMOTONY

Posted on: March 24th, 2023

Na Elinipa Lupembe

Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe. Emanuela Mtatifikolo Kaganda pamoja na Mwenyekiti wa CCM wilaya yaArumeru, wameongoza mchango mdogo kwa ajili ya kuoata maziwa ya mtoto kwa familia ya Samson Silamoi ambao nyumba yao umechukuliwa na maji kutokana na mvua kubwa iliyonysha usiku wa tarehe 23.Machi halmashauri ya Arusha.

Baada ya familia hiyo  yenye mtoto mmoja mdogo, kueleza  nyumba yao kuchukuliwa na maji na kuwa wanaishi kwa jirani, viongozi hao wa Chama na Serikali walipitisha mchango na kwa watu waliombatana nao na kufanikiwa kupata shilingi laki 2 zikiwa ni gedha kwa ajili ya kupata chakula pamoja na maziwa ya mtoto.

Hata hivyo Mheshimiwa Mkuu wa wilaya amewashukuru wananachi kwa kuisaidia hifadhi kaya hiyo na kuwawapa misaada mbalimbali ya kibinadamu na kusisitiza udugu huo uendelee kuwepo katika maisha  ya kila siku ya wanaarumeru.

"Ninashukuru kwa kuwa wananchi wote waliungana kukabiliana na majanga yaliyotokea kwa kuwasaidia wale walioathithika zaidi, huu ndio upendo ambao Mwenyenzi Mungu ameusisitiza katika maisha yetu wanadamu". Amesisitiza Mhe. Emanuela

Akizungumza wakati akikabidhi kiasi hicho cha fedha kwa familia ya Samson, Mwenyekiti wa CCM Arumeru, Noah Severe ametoa pole kwa familia hiyo na kuwataka kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kigumu na kuwatia moyo kiwa matatizo ni sehemu ya maisha ya binadamu.

"Poleni sana kwa yaliyotokea mnapaswa kushukuru kwa yote, sisi kama viongozi wa Chama na Serikali, hatutawacha tutakuwa pamoja na kuhakikisha mnarejea kwenye amisha yenu ya kawaida".Amesisitiza Mwenyekiti Severe.

Katika ziara hiyo Mkuu wa Wilaya ya Arumeru aliambatana na Kamati ya ulinzi na Usalama pamoja na viongozi wa CCM wilaya ya Arumeru.

ARUMERU
#kaziinaendela✍✍✍










Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.