• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC ARUMERU AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA KUJADILI  MAENDELEO YA TEKNOLOJIA DUNIANI (ITU SG 20)....

Posted on: September 14th, 2023

Na Elinipa Lupembe.

Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, amefungua mkutano wa ITU SG 20, unakutanisha Wataalamu wa Kimataifa Kujadili Maendeleo ya Teknolojia duniani.

Mkutano huo wa siku 10, umeanza rasmi leo tarehe 13 Septemba, 2023, unafanyika kwenye Hoteli ya Grand Melia Jjiji la Arusha, umewakutanisha pamoja watalamu wa Teknolojia na Mawasiliano kutoka zaidi ya nchi 200 duniani kwa lengo la kujadili maendeleo na changamoto zinazohusiana na teknolojia za mawasiliano na habari katika ngazi ya kimataifa na kimataifa.

Akifungua mkutano huo kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. Emmanuela licha ya kuwakaribisha watalamu wa nchi wanachama duniani, amesema kuwa , mkutano huo ni fursa kwa nchi ya Tanzania kwa kuwapa nafasi watalamu kujifunza na kubadilishana uzoefu kutoka kwa nchi nyingine na kushirikiana ujuzi katika uga wa IoT.

"Kupitia mkutnao huu tunategemea wataalamu na wabunifu kutoka Tanzania wanapata nafasi ya kujadiliana na watalamu wenzao kutoka nch8 nyingi duniani, jambo ambalo litasaidia kuchangia kwa haraka  maendeleo ya teknolojia nchini kwa kuinganisha Tanzania na nchi nyingine duniani". Ameweka wazi Mkuu huyo wa wilaya.

Awali Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano, na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew,  ameweka wazi umuhimu wa IoT na miji smart katika kuongeza ufanisi wa huduma za jamii na kiuchumi unaenda sambamba na ubora wa maisha ya wananchi wa Tanzania na dunia kwa ujumla wake.

Amesema kuwa nchi ya Tanzania imeonyesha dhamira ya kushirikiana na nchi nyingine katika kubadilishana ujuzi na maarifa na kusambaza uzoefu katika mawanda ya kiteknolojia duniani.

"Pamoja na majadiliano ya IoT na miji smart, mkutano huu unajumuisha masuala mengine muhimu ikiwa ni pamoja na usalama wa mifumo ya IoT na faragha, ulinganifu wa teknolojia , na faida za kiuchumi zinazotokana na maendeleo ya kijamii "

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabiri Bakari, amesema mkutano unaonesha dira ya kuchangia  katika kuimarisha uchumi wa Tanzania.


#KaziInaendelea✍✍✍


PICHA ZA MATUKIO WAKATI WA  UFUNGUZI WA MKUTANO






Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.