Mkuu wa Wilaya wa Arumeru,Mhe.Ameir Mohammed Mkalipa akitembelea mabanda ya maonyesho ya Wajasiriamali wa Halmashauri ya Wilaya Arusha ikiwa ni wiki ya maadhimisho ya siki ya Wanawake Duniani ambapo kilele chake kitafanyika tarehe 08,Machi,2025.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.