• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

ARUSHA DC WAMSHUKURU MAMA SAMIA MGAO WA PIKIPIKI ZA LISHE

Posted on: October 27th, 2022

Na Elinipa Lupembe

Uongozi wa halmashauri ya Arusha, umemshukuru mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan na Serikali ya awamu ya sita kwa kutoa pikipiki kwa ajili ya ufuatiliaji wa masuala ya Lishe hususani watoto wenye utapiamlo.

Akizunguza wakati wa kukabidhi pikipiki hizo kwa watalamu wa Idara ya Afya, Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, amemshukuru mheshimiwa Rais kwa mgao huo wa pikipiki, vitendea kazi ambavyo vitarahisisha ufuatiliaji wa watoto wanaokabiliwa na changamoto ya utapiamlo.

"Tunamshukuru Mama Samia, tumegawa pikipiki hizi kwenye maeneo ambayo yana idadi kubwa ya watoto wenye utapiamlo, licha ya kwamba zitawasaidia watalamu wetu lakini zitarahisisha upatikanaji wa huduma kwa wepesi kwa watoto wenye utapiamlo". Amesisitiza Mkurugenzi huyo.

Afisa Lishe halmashauri ya Arusha, Doto Milembe, amethibitisha kuwa, mgao wa pikipii hizo umezingatia maeneo yenye idadi kubwa ya watoto wenye utapiamlo mkali kwa lengo la kuwarahisishia watalamu kufanya ufuatiliaji kwa watoto waliopatiwa matibabu kwa kushirikiana na wahudumu ngazi ya jamii.

"Pikipiki hizo zitakuwa msaada mkubwa kwa watalmu kuweza kuwafikia watoto kwenye kaya, kufanya ukaguzi wa vyakula pamoja na upimaji wa madini joto kwenye chumvi shuleni na madukani, pamoja na kufanya kufanya tathmini ya kwenye kaya". Amefafanua Doto

Hata hivyo watalamu waliokabidhiwa pikipiki hizo, wameishukuru serikali ya awamu ya tano, inayoongozwa na Mama Samia Suluhu Hassan kwa kutoa vitendea kazi hivyo, vitakavyorahisisha utekelezaji wa majukumu yao kwa jamii.

Nuru Ally, Muuguzi wa zahanati ya Nameloki, kijiji cha Losinoni Juu, ameweka wazi kuwa, licha ya pikipiki hiyo kumrahisishia usafiri wa kuwafikia watoto, itaongeza tija na ufanisi katika kazi ya kuwahudumia watoto wenye utapiamlo pamoja na kutoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa lishe bora kwa watoto.

"Hiki ni kitendea kazi cha muhimu kutokana na changamoto ya ugumu wa kufikika kwa baadhi ya maeneo katika kata ya Musa, pikipiki itaniwezesha kuwafika  na kuwahudumia watoto wengi kwa muda mfupi, tofauti na hapo awali". Amesisitiza Lugito Nzala Muuguzi Zahanati ya Musa

Ifahamike kuwa serikali imetoa pikipiki kwa halmashauri zote nchini kwa ajili ya ufuatiliaji wa masuala ya Lishe, hususani kwa watoto wenye utapiamlo mkali, huku halmashauri ya Arusha ikiwa ni miongozi mwao kwa kuoata jumla ya pikipiki tatu.


ARUSHA DC

KaziInaendelea ✍✍





Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.