Halmashauri ya Arusha inatoa salamu za pole kwa ndugu, jamaa, marafiki, Uongozi na wananchi wote wa halmashauri ya Igunga kwa kuwapoteza wapendwa wao Bi. Fatuma Omary Latu aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo na Dereva wake ndugu Alex.
"Daima tutawakumbuka kwa utumishi wenu uliotukuka, mmeondoka mkiwa katika kutekeleza majukumu yenu ya kuwatumikia wananchi, mmeondoka huku Taifa likiwa bado linawahitaji, Pumzikeni kwa Amani". Seleman Msumi - DED ARUSHA DC
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.