Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha, Alvera Ndabagoye, anawatakia watumishi na wananchi wote wa Halmashauri ya Arusha, heri ya Sikukuu ya X-Mass.
Mkurugenzi huyo amewataka wananchi wote kusherehekea Sikukuu hii kwa amani na utulivu, na zaidi kuwaangalia watoto na usalama wao kwenye maeneo ya burudani wanayowapeleka.
#MERRY#X-MASS#
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.