Katika shamrashamra za maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Mteja jijini Arusha, Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, amekata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua duka la Vodacom 'Vodashop' lililopo katia eneo la Sokoine jijini Arusha,Katika uzinduzi huo, Mkurugenzi Msumi aliambatana na Mkurugenzi Vodacom Huduma kwa wateja Harriet Lwakatare na Zeenat Mwindi -Meneja wa duka duka hilo #HudumaSupaKwaWatejaSupa
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.