• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DED ARUSHA DC:KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA NI JUKUMU LA WANANCHI NA SI LA SERIKALI

Posted on: September 27th, 2020

Na. Elinipa Lupembe.

     Mkurugenzi mtendaji halmashauri ya Arusha, Saad Mtambule, amewataka wananchi wa halmashauri hiyo, kutambua kuwa kufanya usafi wa mazingira, katika maeneo yanayoyanayozunguka kwenye makazi na  maeneo yao ya biashara ni jukumu lao na si jukumu la serikali.

    Mkurugenzi Mtambule ameyasema hayo,baada ya kukerwa na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na baadhi ya wafanya biashara, alipokuwa kwenye zoezi la siku maalumu ya usafi wa Jumamosi ya mwisho wa mwezi, lililofanyika eneo la Kwa Idd kata ya Olorien, Mamlaka ya Mji Mdogo Ngaramtoni. 

      Amesema kuwa kila mwananchi anatakiwa kutambua kuwa, kufanya usafi wa mazingira ni jukumu lake na sio jukumu la serikali pamoja na kuhakikisha usafi unafanyika kwenye maeneo yote yanayowazunguka, na kuwa walinzi wa usafi katika maeneo hayo, kwa kumkamata mtu yoyote anayetupa taka ovyo.

      Mtambule, amekemea na kupiga marufuku tabia ya watu hasa wafanya biashara wa chakula maarufu kama Mama Lishe ya kutupa mabaki ya  vyakula, kumwaga majivu na kumwaga maji machafu nje ya maeneo yao ya biadhara, bila kujali usafi wa maeneo hayo na afya za wateja wanao wahudumia sambamba na majirani waliokaribu na biashara hizo.

    "Kila mfanyabiadhara asafishe mazingira yanayomzunguka mpaka nusu ya barabara, lakini pia akusanye taka mpaka gari litakapokuja kubeba, na si kuyatupa kwenye mitaro, msikubali Mama Lishe watupe mabaki ya vyakula nje ya maduka yenu, toeni taarifa tutawatoza fani ya shilingi laki mbili na nusu " amesisitiza mkurugenzi huyo.

    Ameongeza kuwa ni kosa kisheria kutupa takataka wala kumwaga maji machafu, nje ya maeneo yote yanayotuzunguka ikiwemo, maduka na barabara, hivyo simamieni usafi na kuwakamata watu watakaofanya uchafuzi huo, na watalipa faini.

      Hata hivyo baadhi  ya wafanya biashara wa maduka wamelalamikia tabia ya baadhi ya watu, wenye magari binafsi, kutembea na takataka kwenye mifuko, na kuzitelekeza pembezoni mwa barabara, ambapo ndio kwenye maduka yao, jambo ambalo linasababisha uchafuzi mkubwa wa mazingira maeneo ya barabarani.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.