Mkurugenzi wa Halmshauri ya Arusha,bwana Seleman Msumi akiwakabidhi magogoro,daftari,sabuni walezi wanaoishi na watoto toka mazingira magumu.
Vifaa hivyo vimetolewa na shirika lisilo la Kiserikali la SOS ambapo pamoja na mambo mengine wanayoyafanya katika kusaidia jamii lakini awamu hii wamekuja na mpango wa kuwasaidia watoto hao wanaoishi katika mazingira magumu.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.