Dkt.Pascal Kang'iria toka Arusha DC ambaye ni mataalam wa Afya ya akili akitoa mada kuhusu changamoto za Afya ya akili kwa Watumishi wakati akizungumza na Watumishi toka RS Lindi katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma. ,ikumbukwe kila mwaka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma huandaa Maonyesho ya Wiki wa Utumishi wa Umma.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.