• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

'FATHER's on DUTY' KUPINGA ULAWITI KWA WATOTO WA KIUME SHULE ZA MSINGI

Posted on: October 25th, 2022

Kinababa sita wa Kamati ya Kutetea na Kupinga ukatili wa kingono na ulawiti kwa watoto wa kiume, halmashauri ya Arusha 'Father on Duty' wakiwa kwenye mdahalo na wanafunzi wavulana wa maabara ya kupinga ukatili wa kingono dhidi yao (Boy's Vac Lab), shule ya Msingi Naurei.

Kina baba hao, wamekutana na klabu ya watoto wavulana na kufanya mdahalo uliambatana na utoaji wa elimu kwa watoto hao juu ukatili wa kingono husani ulawiti kwa watoto wa kiume.

Mwenyekiti wa Kamati ya 'Father on Duty' Fanuel Sirikwa, ameelezea namna ya matukio  ulawiti kwa wavulana yalivyoongezeka kwa kasi na kuwataka watoto kujitambua na kuchukua hatua ya kupinga vitendo hivyo kwa nguvu kubwa.

Aidha amewataka watoto hao, kupinga vitendo hivyo na kutoa taatifa kwa siri endapo watakutana na mtu atakayewashawishi kufanya hivyo ama endapo kuna mtoto au watoto wanafanya vitendo hivyo ili waweze kusaidiwa na kuachana na tabia hizo mbaya.

Hata hivyo wavulana hao wamekiri kufahamu tabia hizo na kuwa zinaendelea kwenye jamii yao, na kuwaomba wazazi na jamii, kuwasimamia watoto wao ili kuwaepusha na madhila hayo mabaya kwa watoto na taifa kwa ujumla.

Nasiri Shaban mwanafunzi wa darasa la VI shule ya Msingi Naurei, amewataka watoto kupinga vitendo hivyo haramu, kwa kuepuka vishawishi vya kuoewa zawadi ndogondogo, na kuimba jamii kuendelea kutoa elimu kwa watoto juu ya madhara ya ulawiti kiafya, kiakili na kijamii.

Halmashauri ya Arusha kwa kushirikiana na shirika la CWCD, linatekeleza mradi wa kupinga ukatili wa kingono na ulawiti kwa watoto wa kiume, kwa kuanzisha maabara za wavulana 'Boy's Vac Lab' katika shule sita za msingi za Naurei,  Moivo, Ilboru, Olturoto, Kiranyi na Ngaramtono kwa ufathili wa Foundation for Civil Society.

TUPINGE UKATILI KWA WATOTO,
WATOTO NI TAIFA LA KESHO
UKIMLINDA ATAJENGA NCHI BAADAYE✍✍





Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.