Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe.Queen Sendiga ambaye ni mgeni rasmi wa Maonyesho ya Nane Nane mwaka 2024 Kanda ya Kaskazini, akimkabidhi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha ndugu Sulemani Msumi, cheti cha ushindi kwa kushika nafasi ya tatu kwa upande wa mazao Kanda ya Kaskazini.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.