Mgeni Rasmi wa Maonyesho ya Nane Nane Kanda ya Kaskazini mwaka 2024, Mhe.Queen Sendiga ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara akitembelea na kujionea bidhaa mbalimbali katika banda la Wajasirimali toka Halmashauri ya Arusha leo tarehe 08/08/2024 katika viwanja vya maonyesho hayo Njiro Arusha.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.