• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

JAMII YAHIMIZWA KUWASAIDIA WENYE UHITAJI ILI KUWAREJESHEA FURAHA NA MATUMAINI.

Posted on: December 30th, 2022

Na. Elinipa Lupembe

Jamii imehimizwa kujipangia kutoa msaada wa kimwaili na kijamiii kwa familia zenye uhitaji  kuweza kurejesha Faraja na matumaini kwao ikiwa ni pamoja na kuwasaidia watoto wanaotokea katika familia hizo kukua katika malezi bora na hatimaye kutimiza ndoto zao.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha Seleman Msumi, wakati akikabidhi msaada wa chakula kwa familia tisa zenye uhitaji, ikiwa ni zawadi maalum ya sikukuu ya mwaka mpya 2023, washerehekee kwa furaha na amani kama familia zingine.

“Sisi kama halmashauri, tumeguswa  na hali za hawa wananchi wetu, tumeona ni vyema kutoa msaada  wa chakula ili  ndugu zetu waweze kuungana na watanzania wengine kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka huu.” Amesema Mkurugenzi Msumi.

Kwa upande wake Afisa Ustawi wa Jamii Halmashauri ya Arusha, Beatrice Tengi, licha ya kuzishukuru familia hizo, ametumia fursa hiyo kuwakaribisha wadau wengine kujitokeza kwa wingi na kutoa misaada ya namna hiyo ili iweze kuzifikia familia nyingine zenye uhitaji.

Hata hivyo familia hizo zimeishukuru sana halmashauri kwa kuendelea kuwakumbuka wananchi wake kwani inaonesha jinsi serikali inavyowapenda na kuwajali wananchi wake hasa wenye mahitaji maalumu kwa kuwapa misaada mbalimbali.

Akizungumza kwa niaba ya familia hizo zilizopokea msaada huo wa chakula, Maria Nicolaus, mkazi wa Sanawari, amesema anaitakia mema Serikali ili iendelee na moyo huo wa upendo wa kuwajali watu wenye mahitaji maalum kwani inawapa Faraja na matumaini ya kuishi.

Aidha, msaada huo uliotolewa ni pamoja na mchele kg. 150, sabuni miche 25, sukari kg. 25, unga wa ugali kg.25, unga wa ngano kg. 50, mafuta lita 30, maharage kg.20, katoni 5 za juice, chumvi, majani ya chai, sabuni za unga pamoja na taulo za kike pcs 24 ukiwa na thamani ya shilingi milioni 1.14.


ARUSHA DC
KaziInaendelea✍✍





Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.