Jamii imetakiwa kuwaunga mkono na kuthamini mchango wa kina mama katika maendeleo, vile vile kumpa kipaumbele mtoto wa kike kwani wamekuwa mstari wa mbele katika kutunza na kuchangia pato la familia katika Jamii. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha, bwana Msumi ameyasema hayo katika maadhimisho ya Siku ya Mama Duniani
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.