• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

JHPIGO TANZANIA YAIMARISHA MRADI WA TCI-TUPANGE PAMOJA ARUSHA DC

Posted on: September 2nd, 2020

Na. Elinipa Lupembe. 

     Mkurugenzi mtendaji halmashauri ya Arusha, Saad Mtambule, amekutana na timu ya watalamu watekelezaji wa mradi wa TCI- Tupange Pamoja, mradi unaotekelezwa na halmashauri hiyo kwa kushirikiana na  shirika la Jhpiego, kwa ufadhili wa mfuko wa Bill&Melinda Gate la nchini Marekani, kuweka mpango mkakati wa kuimarisha utekelezaji wa mradi huo kwa ufanisi zaidi.
       Watalamu hao wamekuatana kupanga mikakati ya kuanza rasmi uboreshaji wa utekelezaji wa mradi huo, kwa mwaka huu mpya wa fedha ulioanza Julai 2020 mpaka Juni 2021, mradi unaojikita kwenye kueleimisha jamii juu ya Afya ya Uzazi kwa vijana, Huduma rafiki kwa Vijana pamoja na Uzazi wa Mpango kwa jamii, lengo likiwa kuondosha ndoa n mimba za utotoni.
      Mkurugenzi Mtambule, amewataka watalamu hao kuhakikisha wanatoa elimu na huduma bora kwa jamii, hasa kwa vijana, ambao wako kwenye athari kubwa, ya kujiingiza kwenye masuala ya uzazi katika umri mdogo na ndoa za utoto, zinazosababisha wengi kukatisha masomo, na kushindwa kutimiza ndoto zao.
     "Kama watalamu tuna jukumu kubwa la kutekeleza mradi huu, ili kufikia malengo ya serikali, ya kuhakikisha vijana wanasoma kwa bidhii bila kukatishwa masomo yao kutokana na mimba na ndoa za utotoni, elimu bila mlipo inatekeleza kwa kila mtoto wa kitanzania kupata elimu" amesema Mkurugenzi Mtambule
   Ameongeza kuwa watalamu wanalo jukumu  kubwa la kuhakikisha vijana wanapata elimu ya Afya ya Uzazi, elimu ambayo itawafungua ufahamu na kuwawezesha kujitambua, kujithamini, kutambua nafasi  waliyonayo pamoja na majukumu yao katika jamii, huku wakijandaa kuwa na familia bora na Taifa imara lenye watu wenye afya bora.
   Naye Mratibu wa Mradi TCI-TUPANGE PAMOJA mkoa wa Arusha, Waziri Njau licha ya kuushukuru na kuupongeza uongozi wa halmashauri ya Arusha chini ya mkurugenzi  mtendaji,ameweka wazi kuwa halmashauri ya Arusha ni miongoni mwa halamshauri zinazofanya vizuri katika utekelezaji wa mradi huo na kuwataka watalamu kuongeza kasi ili kuwafikia vijana wengi zaidi lengo likiwa kuondoa mimba na ndoa za utotoni.
        "Vijana wana ndoto zao nyingi ambazo wanahitaji kuzitimiza,  mimba na ndoa za utotoni zinakatisha ndoto za vijana wengi, hivyo ni wajibu wetu kuhakikisha vijana wanatimiza ndoto zao"amesisitiza Njau
      Awali mradi huo wa TCI - TUPANGE PAMOJA, umetekelezwa katika halmashauri ya Arusha, kwa miaka miwili mfululizo na kuanza rasmi mwka wa tatu sasa, mara baada ya kufanya vizuri kwa miaka miwili iliyopita.











Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.