Jiunge na BIMA ya Afya Iliyoboreshwa, kwa gharama ya TSH. 30,000/= tu.
BIMA ya Afya Iliyoboreshwa inatoa nafasi za matibabu kwa sita (6) wa kaya moja na kutibiwa kwenye Zahanati, Kituo cha Afya, Hospitali ya Wilaya na Mkoa Tanzania nzima.
Kadi za BIMA hii zinapatikana kwenye Ofisi za Kata na Vijiji na Mitaa kwenye eneo lako.
*AFYA YAKO MTAJI WAKO NA FAMILIA YAKO*
#SERIKALI IMEAMUA#INATEKELEZA#
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.