Katibu Tawala Wilaya ya Arumeru Timoth Mzava akizungumza na wanawake wawakilishi wa Jukwaa la Uwezeshaji wanawake Kiuchumi Halmashauri ya Arusha wakati alipozindua Jukwaa hilo rasmi mara baada ya wananchi hao Kufanya Uchaguzi wa Viongozi wa Jukwaa hilo ngazi ya Halmashauri.
Katibu Tawala huyo amewataka wanawake hao kutumia jukwaa hilo kama chachu ya maendeleo yao na wanawake wote ndani na nje ya halmashauri hiyo kwa kukaa pamoja ili kujengeana uwezo na kushirikisha fursa za maendeleo.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.