• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

JUMLA YA WANAFUNZI 859 KUFANYA MITIHANI YA TAIFA KIDATO CHA SITA ARUSHA DC 2022

Posted on: May 8th, 2022

Na. Elinipa Lupembe.

Jumla ya wanafunzi 858 wanaanza mitihani ya Taifa ya kuhitimu kidato cha sita mwaka 2022, huku wanafunzi 18, wakifanya mitihani ya kuhitimu vyuo vya Ualimu, kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Baraza la Mtihani la Taifa (NECTA).

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Mkurugenzi Mtendaji, na mwenyekiti wa Kamati ya Mitihani, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, amesema kuwa, wanafunzi hao 858, wanafanya mitihani hiyo kwenye jumla ya shule za sekondari 11 na vyuo viwili vya Ualimu.

Aidha mkurugenzi Msumi, amewataka wasimamizi wote wa mitihani hiyo, kusimamia mitihani kwa uadilifu kulingana na kanuni, sheria na taratibu za mitihani ya Taifa, huku wakijiepusha na vitendo vya udanganyifu.

"Niwatake wasimamizi wote wa mitihani, kufanya kazi hiyo kwa uaminifu na uadilifu, huku mkiweka mbele maslahi ya Umma na wanafunzi hao, tambueni kuwa mmebeba dhamana ya vijana, ambao Taifa linawategemea na limewekeza rasilimali nyingi" amesistiza Mkurugenzi Msumi.

Naye Afisa Elimu Sekondari, Mwalimu Menard Lupenza amefafanua kuwa, katika halmashauri ya Arusha, jumla ya wanafunzi 877, wameanza mitihani wa Taifa wa  kuhitimu kidato cha sita na vyuo vya ualimu mwaka 2022, kufuatia ratiba iliyotolewa na Baraza la Mtihani la Taifa - NECTA.

Aidha ametaja makundi ya wanafunzi wanaofanya mtihani mwka 2022, wanafunzi  859, wanafanya mtihani wa Taifa wa kidato cha sita, huku 18 wakifanya mitihani ya Ualimu.

"Wanafunzi 728 ni wa shule  'school candidate' wavulani ni 344 na wasichana  379, huku wanafunzi 136 ni wa kujitegemea 'private candidates'  wavulana 76 na wasichana 69, na wanafunzi 18 watafanya mitihani ya Ualimu ambapo wavulana 12 na wasichana 6" amefafanua Afisa Elimu huyo.

Naye Mkuu wa shule ya sekondari Mringa, Mwalimu Salum Magaka, ameweka wazi kuwa watahiniwa, wameandaliwa vema kwa ajili ya kufanya mitihani hiyo ya Taifa na wanategemea watafanya vizuri katika matokeo yao.

Awali uongozi wa halmashauri ya Arusha, unawatakia kila la kheri wanafunzi wote wanaofanya mtihani wa Taifa wa kuhitimu kidato cha sita mwaka 2020, mitihani inayoanza tarehe 09.05.2022.


ARUSHA DC 

KaziIendelee✍






Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.