• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA MIRADI INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025

Posted on: April 23rd, 2025


KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA  UJENZI WA MIRADI INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025



Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Wilaya ya Arusha Mhe. Ojung'u Piniel Salekwa leo tarehe 23/04/2025  imetembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo kwa kipindi cha robo ya tatu kwa mwaka wa fedha 2024/2025.



Akizungumza wakati wa ziara hiyo  Mhe. Ojung'u Salekwa ameridhishwa na utekelezaji wa miradi hiyo na kushauri timu ya wataalamu kwa kushirikiana na wasimamizi wa miradi kutatua changamoto ndogo ndogo zinazojitokeza wakati wa utekelezaji wa miradi hiyo ili iweze  kukamilika kwa wakati.


Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na Ukarabati wa Madarasa ya Shule ya Msingi Laroi ambapo jumla ya majengo 08 yatakarabatiwa, ujenzi wa Matundu 12 ya vyoo vya Wanafunzi na vyoo vya Waalimu ambapo mpaka kukamilika kwakwe utagharimu kiasi cha shilingi 76,000,000/=.



Pia kamati hiyo ilitembelea ujenzi wa Chumba cha Kuhifadhi Maiti katika Kituo cha Afya Oljoro ambapo ujenzi huo upo hatua ya umaliziaji na unagharimu kiasi cha Shilingi 40,000,000 ikiwa ni fedha kutoka Mapato ya Ndani.



Aidha Kamati hiyo ya fedha ilitembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa matundu 24 ya vyoo katika shule ya Msingi  Mirongoine ambapo ujenzi huo upo katika hatua ya umaliziaji ambapo kiasi cha shilingi 55,923,458 fedha kutoka Serikali Kuu.


Kwa upande wake, Diwani wa Kata ya Matevez ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha Mhe.Freddy Ezekiel amewataka Wataalam wa Halmashauri idara ya Uhandisi kufanya ufuatiliaji wa mara kwa mara wa Miradi hiyo ili iweze kukamilika na kuwa na manufaa kwa wananchi.



Akizungumzia miradi hiyo,Diwani wa Kata ya Olturoto mhe.Baraka Simeon amewapongeza Wataalam kwa kazi nzurii wanayofanya ya kusimamia Miradi hiyo na kuwataka kuzingatia ubora wa majengo na kuitaka kamati za Ujenzi kuwa kuelejeza nguvu zao katika usimamizi.



Naye Diwani wa Kata ya Olturumet Mh Joseph Tinayo amewataka wananchi ambao miradi hiyo inatelekezwa kwenye maeneo yao kutoa ushirikiano wakutosha kwa Wataalam,mafundi kwani mara baada ya kukamilika itakuwa chini ya uangalizi wao katika kuitunza.



Kwa upande wake kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, Daktari Petro Mboya ambaye ni Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo ameishukuru Kamati ya Mipango Fedha na Uchumi kwa kutembelea Miradi hiyo na kuhaidi kufanyia kazi maelekezo yote yaliotolewa na Kamati na kuahidi kufanyia kazi haraka.


Matangazo

  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA TATU 2O21/2022 tarehe 09.05.2022 May 08, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA ARUSHA DC,BW.SELEMAN MSUMI AKIWA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI HIYO KATIKA MASDHIMISHO YA MEI MOSI KIMKOA ARUSHA

    May 02, 2025
  • HERI YA MEI MOSI

    May 01, 2025
  • HERI YA SIKU YA MEI MOSI

    May 01, 2025
  • MHE. MAJALIWA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.