• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA SIASA ARUMERU YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM ARUSHA DC

Posted on: February 3rd, 2020

Na. Elinipa Lupembe.

Wajumbe wa Kamati ya Siasa, wilaya ya kichama ya Arumeru, wameipongeza halmashauri ya Arusha kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo, walipofanya ziara ya kukagua miradi katika Tarafa ya Moshono,  ikiwa ni ukaguzi wa utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM.

Wajumbe hao, wameonyesha wazi kuridhishwa na ubora wa miradi waliyoikagua, na kuthibitisha mapinduzi  makubwa ya kimaendeleo yaliyofanyika hasa katika maeneo ya vijijini, kwa kipindi kifupi cha miaka minne ya serikali ya awamu ya tano, inayoongizwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, wilaya ya kichama ya Arumeru, Simon Ole Saning'o, amekiri mapinduzi hayo makubwa ya kimaendeo, yanayoonekana wazi kupitia utekelezaji wa kasi wa miradi ya Maendeleo kisekta.

Saning'o amekiri kuwa, mpaka sasa, Serikali ya awamu ya tano, imetekeleza Ilani ya CCM kwa zaidi ya asilimia 90, ikiwaa imejikita zaidi kutekeleza miradi mikubwa katika sekta za Elimu, Afya, Maji, Umeme, pamoja na Miundombinu ya barabara. "Rais Magufuli, ilipoingia madarakani, alikabidhiwa ilani ya CCM, iliyojikita kwenye kuendeleza sekta ya Elimu, Afya, Maji, Miundombinu ya barabara, Umeme na Kilimo, kwa kipindi kifupi cha miaka minne, Serikali  imefanya mapinduzi makubwa, katika utekelezaji wa Ilani, tofauti na vipindi vilivyopita. Amesema Mwenyekiti Saning'o"

Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na mradi wa ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa, shule ta sekondari sokoni II, uliogharimu shilingi milioni 190 kupitia ubalozi wa Japan,  ujenzi wa maktaba na ukarabati wa  bwalo sekondari Mlangarini milioni 140 fedha za EP4R , ujenzi wa darasa shule ya sekondari Olokii kwa nguvu za wananchi , ujenzi wa Kituo cha Afya Nduruma milioni 500 Serikali Kuu, ujenzi wa vyumba vya madarasa na vyoo shule ya Msingi Lameloku milioni 60 fedha za Miradi ya TASAF

Ziara hiyo ilimalizika kwa wajumbe hao wa kamati, kuzungumza na wananchi wa Kata ya Bwawani katika mkutano wa hadhara, uliofanyika kijiji cha Lameloku na kufanikiwa kujadili mikakati na changamoto mbalimbali zinazokabili utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika kata yao, huku kamati hiyo ikiwapongeza wananchi kwa kushiriki kwa vitendo, kuunga mkono juhudi


Mtalamu wa maabara  kituo cha Afya Nduruma, akitoa maelezo mbele ya wajumbe wa kamati ya Siasa wilaya ya Arumeru, kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ta Arumeru na kulia ni Mkuu wa Wliaya ya Arumeru mhe. Jerry Muro, kwa pamoja wakimsikiliza mtalamu wa Maabara




Wajumbe wa Kamati ya Siasa wilaya ya Kichama Arumeru, wakizungumza na mganga Mfawidi kituo cha Afya Nduruma, wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo, halmashauri ya Arusha.

Vifaa vya maabara kituo cha Afya Nduruma

Jengo la Maktaba shule ya sekondari Mlangarini


Vitabu vilivyopangwa kwenye Maktaba shule ya sekondari Mlangarini

Matangazo

  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA TATU 2O21/2022 tarehe 09.05.2022 May 08, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA ARUSHA DC,BW.SELEMAN MSUMI AKIWA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI HIYO KATIKA MASDHIMISHO YA MEI MOSI KIMKOA ARUSHA

    May 02, 2025
  • HERI YA MEI MOSI

    May 01, 2025
  • HERI YA SIKU YA MEI MOSI

    May 01, 2025
  • MHE. MAJALIWA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.