• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YE FEDHA ARUSHA DC, IMEUAGIZA UONGOZI WA HALMASHAURI KUWEKA VIBAO VYA UMILIKI KATIKA MAENEO YOTE YANAYOMILIKIWA NA HALMASHAURI HIYO

Posted on: July 29th, 2021

Na. Elinipa Lupembe.

Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango halmashauri ya Arusha, wameutaka uongozi wa halmashauri hiyo, kuweka vibao kwenye maeneo yote yanayomilikiwa na halmashauri, lengo likiwa kuujulisha umma kwamba maeneo hayo ni mali ya halmashauri ya Arusha, pamoja na kuepusha uvamizi wa maeneo hayo.

Wajumbe hao, wametoa agizo hilo wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara ya kawaida ya  kamati ya Fedha ya kukagua miradi ya maendeleo kwa kila robo ya mwaka, kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa mikutano halmashauri ya Arusha.

Wajumbe hao walikubaliana hayo mara baada ya kutembelea na kukagua maeneo ya wazi yanayomilikiwa na halmashauri, na kukagua eneo lililopo  Sekei, Gomba na Mlangarini na kugundua kuwa maeneo hayo yanaweza kupotea kama halmashauri haitachukua hatua za haraka za kuyafanyia matumizi.

Hata hivyo wajumbe hao walikwenda mbali zaidi na kuagiza menejimenti kutengeneza hati miliki  za maeneo yote yanayomilikiwa na halmashauri pamoja na kuandaa mara moja mpango mkakati wa matumizi ya maeneo hayo, ili yaweze kutumika kama yalivyokisudiwa kwa manufaa na maendeleo ya wananchi wote.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Arusha Mheshimiwa Ojung'u Salekwa amewasisitiza watalamu wa halmashauri, kuwa ni vema maeneo hayo yakawekwa vibao vya utambuzi vinavyoonesha eneo hilo ni mali ya halamshauri ya Arusha, kuyaandalia hati miliki pamoja na kuandaa mpango mkakati wa kuanza kuyatumia maeneo hayo."Kwa kuanza ni vema kuanza kwa kuweka vibao vya utambuzi, vya kuonesha eneo hili ni mali ya halmashauri ya Arusha, na kuandaa hati miliki pamoja na kuanza kutumia maeneo hayo kwa ajili ya manufaa ya halmashauri na wananchi wote" amesema Mheshimiwa Mwenyekiti.

Kaimu Mkurugenzi, mwalimu Hossein Mghewa licha ya kupokea maagizo na kuahidi kuyaanyia kazi kwa haraka, ameweka wazi umuhimu wa kuhakikisha maeneo hayo yanatambulika kisheria ikiwa ni pamoja na kutengenza hati za hati za maeneo haya sambamba na kuandaa mpango wa matumizi wa maeneo hayo.Aidha miradi iliyotembelewa na Kamati hiyo ya Fedha ni pamoja na eneo la Gomba lenye ukubwa wa mita za mraba 17,948 kwa ajili ya kujenga  stendi, eneo la kujenga Soko  lenye ukubwa wa mita za mraba 15,517.  

Eneo la Mlangarini lililotengwa kwa ajili ya kujenga shule ya watoto lenye ukubwa wa mita za mraba  3, 737, eneo la kujenga uwanja wa michezo lenye mita za mraba 8, 642, pamoja na kujenga majengo ya serikali lenye ukubwa wa mita za mraba  2, 726,  na soko mita za mraba 3,404.












Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.