Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, anawakaribisha wananchi wote, kutembelea Mabanda ya Kilimo na Mifugo ya Halmashauri hiyo, kwenye viwanja vya Themi - Njiro kuanzia tarehe 01- 08 Augusti, 2022.
Njoo ujionee shughuli mbalimbali za Kilimo na Mifugo zinazofanyika kwenye halmashauri ya Arusha kufikia AJENDA 10 -30.
KAULI MBIU: "AGENDA 10 - 30 KILIMO NI BIASHARA SHIRIKI KUHESABIWA KWA MIPANGO BORA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI"✍✍
TUKUTANE VIWANJA VYA THEMI - NJIRO
SHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022.
JIANDAE KUHESABIWA 23.AUGUST 2022✍✍
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.