Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Arusha Seleman H. Msumi mapema hii Leo Tarehe 06.07.2025 amekabidhiwa Mwenge wa Uhuru, Wakimbiza Mwenge 6 Kitaifa, Wakimbiza Mwenge 6 Kimkoa Pamoja na FFU wa Mkoa na Wilaya ya Arumeru kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Meru Mwl. Zainab Makwinya. Ambapo itazindua Miradi nane (08) ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.