Mwenyekiti wa Halmashauri ya Arusha,Dkt.Ujungu Salekwa akiongoza kikao cha Baraza la Madiwani lakupokea na kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika Kata zote 27 za Halmashauri hiyo tarehe 07/05/2024. Pamoja na taarifa hizo pia kikao kilipokea na kujadili taarifa utekelezaji wa miradi ya REA, TARURA,RUWASA pamojana AUWSA.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.