Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha,bwana Omary Sembe akiongea kwenye kikao cha Baraza la Madiwani la kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo za Kata leo tarehe 04/11/2024 na amesema,Halmashauri inazingatia na itatekeleza maelekezo,maoni na ushauri uliotolewa na Waheshimiwa Madiwani kuhusu ukamilishwaji wa miradi iliyopo katika Kata wanazotoka kwa mujibu wa bajeti ilivyotengwa kwa mwaka wa fedha 2024/2025 ili kumrahisishia mwananchi kupata huduma kiurahisi.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.