Mkutano wa Baraza la Kawaida la Halmashauri ya Arusha likiendelea na kikao chake leo tarehe 07/08/2024 katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri hiyo. Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo,bwana Seleman Msumi na wa katikati ni Mewnyekiti wa Halmashauri Dkt.Ojung'u Salekwa akiwa na Makamu Mwenyekiti Fred Lukumay(mwenye miwani).
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.