Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Arusha Dc,Bwana Stedvant Kileo kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha amewataka Wajumbe walioshiriki Kikao cha kujadili utekelezaji wa masuala ya Lishe kwa kipindi cha robo ya 3 ya mwaka wa fedha 2023/2024, kutekeleza maelekezo yote yaliyojadiliwa katika kikao hicho ili kukabiliana na changamoto za lishe ikiwemo suala la kuhakikisha wanafunzi wanapata chakula cha mchana shuleni pamoja na kutoa elimu kwa Kaya juu umuhimu wa lishe.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.