• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KIKAO MAALUM CHA TATHMINI YA HALI YA LISHE NGAZI YA KATA CHAFANYIKA ARUSHA DC

Posted on: February 15th, 2022

Na. Elinipa Lupembe.

Kikao maalum cha Tathmini ya Hali ya Lishe, ngazi ya kata, halmashauri ya Arusha, kwa kipindi cha robo ya pili, 2021/2022 ya kuanzia mwezi Oktoba mpaka Desemba 2021, kimefanyika kwenye ukumbi wa Mwenyekiti halmashauri ya hiyo.

Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa matokeo ya Tathmini ya Hali ya Lishe ngazi ya kata, Afisa Lishe halmashauri ya Arusha, Doto Milembe, ameweka wazi viashiria 6 vya vinavyozingatiwa kitaifa,  katika kufanya tahmini ya Lishe katika ngazi ya kata.

Aidha amesema kuwa, kwa kipindi cha robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2021/2022, kwa kuzingatia vigezo 6 vya kitaifa, halmashauri ya Arusha, imepata asilimia 87 kwenye kigezo cha vijiji kuadhimisha Siku ya afya ya Lishe, asilimia 73.9 kigezo cha vijiji vilivyoabandika taarifa za Lishe kwenye mbao za matangazo, asilimia 0.9 ya watoto waliogundulika kuwa na utapiamlo mkali, asilimia 100 idadi ya watoto wenye utapiamlo mkali waliokwenda kupata matibabu kwenye vituo vya afya na asilimia 100 kigezo cha idadi ya kaya  zenye wajawazito na watoto wa chini ya miaka mitano, zilizotembelewa na Wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii, huku asilimia 45 tu ya vijiji vyenye sheria ndogo za masuala ya Lishe ili kupambana na Utapiamlo mkali.

"Changamoto zinaathiri hali ya Lishe katika halmashauri yetu, ni pamoja na baadhi ya vijiji kushindwa kubandika taarifa za Lishe kwenye mbao za matangazo na baadhi ya vijiji kutokuwa na sheria ndogo za masuala ya lishe na kuoambana na utapiamlo mkali, tukifanikiwa kupandisha vigezo hivi tutakuwa kwenye hali nzuri kitaifa" amefafanua Afisa Lishe huyo.

Naye Kaimu Mkurugenzi, halmashauri ya Arusha, Paulus Kessy, amesema kuwa sheria ndogo ziko kwenye mchakato na tayari wajumbe wa Baraza la Madiwani wamepitisha rasimu ya sheria ndogo, na kuwataka Maafisa Watendaji wa kata, kusimamia na kuhakikisha kila kijiji kinabandika taafifa za lishe kwenye mbao za matangazo na kuzipitia kila mwezi.

Hata hiyo Maafisa Watendaji wa kata wamekubaliana kuendelea kuwasimamia wahudumu wa afya ngazi ya jamii pamoja na kufuatilia tathmini ya Lishe katika kata zao kwa kuzingatia vigezo vya kitaifa, kwa kuendela kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa lishe bora pamoja na madhara ya lishe duni.Katika mkutano huo, Maafisa watendaji hao,  wametakiwa pia kuendelea kuhamasisha wanawake  kupima na wasichana kupata chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi, chanjo inayotolewa bure katika vituo vyote vya afya pamoja na Kliniki inayotembea, 'mobile clinic'.

Kikao maalum cha Lishe, kinafanika kila robo ya mwaka wa fedha na kinajadili taarifa ya tahmini ya hali ya utekel3zaji wa shughuli za Lishe ngazi ya kata kwa kuzingatia vigezo 6 vilivyoainishwa  kitaifa.ARUSHA DCKaziInaendelea✍✍

 








Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DKT. PASCAL KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 19, 2025
  • WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 18, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI

    June 17, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.