Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg. Ismail Ali Ussi ameweka Jiwe la Msingi katika Mradi wa Maji kijiji cha Mungushi kilichopo kata ya Bwawani, Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wenye thamani ya Tsh 574,034,596.96
Mradi huu uliibuliwa na wananchi wa Kjiji cha Mungushii, ambapo Mradi ulisanifiwa na timu ya Usanifu ya Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Arusha na Utekelezaji wa mradi huu umefanywa kwa kutumia wataalam wa ndani (Force Account)
Aidha Mradi utanufaisha wananchi wapatao 3,072 na umeongeza upatikanaji wa huduma ya Maji kwa wananchi wa Kijiji cha Mungushi.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.