Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha, Saad Mtambule, anawatangazia Wananchi wote kushiriki kwenye Kilele cha MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KITAIFA 2020,
Yatakayofanyika Kwenye Viwanja Vya Halmashauri Ya Arusha siku ya Jumatano tarehe 09.12.2020 Kuanzia Saa 03:00 Asubuhi.
Katika Maadhimisho hayo, kutakuwa na MDAHALO kuhusu HALI HALISI YA UKATILI NA MBINU ZA KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA KATIKA HALMASHAURI YA ARUSHA.
Washiriki wa MDAHALO huo ni Watalamu, Wadau na Wananchi wa Halmashauri Ya Arusha.
KAULI MBIU 2020: “TUPINGE UKATILI WA KIJINSIA: MABADILIKO YANAANZA NA MIMI
“UPAKE Ulimwengu rangi ya Chungwa: Wekeza, Shughullika, Zuia, Hamasisha”
****NJOO TUSHIRIKI PAMOJA KUPAMBANA NA UKATIKI WA KIJINSIA***
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.