• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MAADHIMISHO YA SIKU  YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA WILAYA YA ARUMERU 25 JULAI, 2023

Posted on: July 25th, 2023

Na Elinipa Lupembe.


Wilaya ya Arumeru imeadhimisha siku ya Kumbukumu ya Mashujaa eneo la Usa River halmashari ya Meru ikijumuisha halmashauri mbili za wilaya hizo za Arusha ma Meru


Maadhimisho ambayo hufanyika Julai 25 ya kila Mwaka,Tanzania huadhimisha siku ya kuwakumbuka Mashujaa waliopoteza Maisha yao wakiutetea,Kuupigania na Kulinda  Uhuru wa Tanzania. Siku hii pia


Katika wilaya ya Arumeru Mkuu wa wilaya hiyo Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, amewaongoza wakzi wa wilaya hiyi kuafanya shughuli za kijamii ikiwemo kuomba dua na sala maalumu za kuwaombea Mashujaa waliopoteza maisha pamoja na na  kuiombea Amani ya Nchi kutoka kwa Viongozi wa Dini.


Aidha wamefanya zoezi la kuotesha miti 100, kwenye kingo za mto Ndurumanaga, huku vijana wa jeshi la akiba wakiotesha  miti mingine 500 kwenye shule mbili, kufanya usafi kuanzia Ofisi za Mkuu wa wilaya, ofisi za makao makuu ya halmashai ya Meru, eneo la Leganga na Kituo cha afya Usa River.


Aidha Mkuu huyo wa wilaya aliongoza maandamano ya amani kutoa ofisini kwake kueleke kituo cha Afya Usa River na kuhitimisha kwa kuwahutubia wananchi.


Kumbukumbu hiyo ya Mashujaa hufanyika ili kuwakumbuka na wakuwaenzi kwa kazi kubwa waliyoifanya ya  kulipambania Taifa lao kwa  hali na mali kwa ajili ya kuitetea Nchi ya Tanzania wakiwa katika Maeneo mbalimbali.


Mashujaa hao walijizatiti na kujitoa  kwa uzalendo wa hali ya juu bila kujali maslahi yao binafsi kwa kujitoa muhannga na kuweka maisha yao rehani na wengine kupoteza  maisha kwa ajili ya Tanzania.


Aidha watanzania wote wanatakiwa kuienzi misingi imara ya kizalendo amani na upendo iliyojengwa na waasisi wa Taifa Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume, misingi ambayo matunda yake tunayafaidi watanzania wote na tujipange kurithisha na vizazi vijavyo.


Katika maadhimishi hayo, Mkuu wa wilaya ya Arumeru, akiwa na Kamati yake ya Ulinzi na Usalama, viongozi wa dini, viongozi wa Chama na Serikali, viongozi wawakilishi wa  wananchi pamoja na Watumishi wa halmashari zote mbili za Arusha na Meru.


*MASHUJAA WETU, AMANI YETU!*

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DKT. PASCAL KATIKA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 19, 2025
  • WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

    June 18, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI

    June 17, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.