Halmashauri ya Arusha, inategemea kufanya kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI DUNIANI,tarehe 01.12.2019 kwenye viwanja vya Soko la Ngaramtoni kata ya Olturumet kuanzia saa 04:00 asubuhi.
*MAADHIMISHO HAYO YATAAMBATANA NA SHUGHULI ZIFUATAZO:-*
- Kutoa elimu dhidi ya maambukizi mapya ya VVV
- Upimaji wa VVU
- Upimaji wa kifua kikuu
- Maonyesho ya shughuli za wadau wanaojishughulisha na maswala ya UKIMWI.
KAULI MBIU: JAmii ni Chachu ya Mabadiliko, Tuunganr Kuzuia Maambukizi Mapya ya VVU.
*NYOTE MNAKARIBISHWA, KUMBUKA UKIMWI BADO UPO*
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.