• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MAAGIZO YA DC ARUMERU KWA WAJUMBE WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI -ARUSHA DC

Posted on: October 28th, 2021

Na. Elinipa Lupembe.

MAAGIZO YA DC ARUMERU KWA WAJUMBE WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI.

"Waheshimiwa Madiwani mnalo jukumu la kuhamasisha wananchi katika maeneo yenu, kushiriki zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, itakayofanyika mwakani 2022, hamasisheni wananchi wenu kushiriki zoezi hilo, kwa ajili ya mipango ya maendeleo ya nchi yetu". DC Arumeru - Eng. Ruyango 

"Zoezi la utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wa kuanzia umri wa miaka 5 - 17, linaendelea katika maeneo yenu, linaratibiwa na Maafisa Elimu Kata, hakikisheni watoto wote wa umri huo wanapata vyeti vya kuzaliwa, kama ilivyo adhma ya Serikali, ili kuondoa changamoto zinazojitokeza mara nyingi kwa vijana ambao hawana vyeti vya kuzaliwa pindi vyeti hivyo vinapohitajika". DC ARUMERU Eng. Richard Ruyango 

"Serikali imepokea awamu ya pili ya chanjo ya UVIKO 19, waheshimiwa Madiwani, endeleeni kupambana na ugonjwa huo hatari kwa kuhamasisha wananchi kupata chanjo, viongozi wenzangu kuweni mfano wa kuchanja kama alivyofanya Mhe Rais wetu" DC ARUMERU Eng. Richard Ruyango 

"Katika halmashauri yetu tumepokea fedha za mapamabano ya UVIKO 19, kutoka serikali kuu , kiasi cha shilingi Bilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 100 vya madarasa, vyumba 96 kwa shule za sekondari na madarasa 4 kwa shule mbili za msimgi shikizi, Waheshimiwa Madiwani mnatakiwa kuungana na watalamu wa ngazi zote, kusimamia utekelezaji wa miradi hiyo katika maeneo yenu, ili iweze kukamilia kwa wakati na viwango vya ubora vinavyolingana na thamani ya fedha" DC ARUMERU -Eng. Richard Ruyango

"Kuna migogoro mingi ya mipaka katika maeneo yetu, kati ya wilaya na wilaya, kata na kata na hata vijiji kwa vijiji, sisi kama viongozi tunapaswa kuungana pamoja, kutatua migogoro hiyo na kupata suluhisho la kudumu, migogoro inatuchelewesha sana kujielekeza kwenye maendeleo, nitoe Rai kwenu ya kuwa na utaratibu wa kutumia watalamu kwa kuzingatia GN za Serikali zilivyoainisha maeneo ya mipaka hiyo" DC ARUMERU Eng. Richard Ruyango


Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhandisi Richard Ruyango (aliyesimama) akizungumza na wajumbe wa Baraza la Madiwani, kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani la kujadili taarifa za robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2021/2022, mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa halmashauri hiyo





Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.