Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha,Bwana Seleman Msumi leo tarehe 22/05/2024 amekutana na kufanya mazungumzo na timu ya Madaktari bingwa wa Mama Samia ambao wapo Mkoani Arusha kwaajili ya ziara ya kitabibu. Madaktari hao wanandesha kliniki ya kuwahudumia wananchi katika Kituo cha Afya cha Nduruma ikiwa ni dhamira ya Serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuwasogezea wananchi huduma za msingi ikiwepo Afya.
TAZAMA VIDEO Bovya hapa kutazama
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.