Na Elinipa Lupembe
Maendeleo ya ujenzi ya vyumba 2 vya madarasa, shule ya Sekondari Olturoto uko hatua ya kupandisha kuta.
Mradi huu unajumuisha vyumba 2 vya madarasa, viti na meza 80 kwa gharama ya shilingi milioni 40, fedha kutoka Serikali Kuu, maarufu kama 'POCHI LA MAMA', ikiwa ni maandalizi ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza, watakaopangiwa kwa mwaka wa masomo utakaoanza Januari 2023.
ARUSHA DC
KaziInaedelea✍✍
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.